WAWILI WENYE VIRUSI NI WANAUME LAMU.


Idara ya Afya katika kaunti ya Lamu imethibitisha kuwa Watu wawili walio na virusi vya korona Lamu,wamepatikana baada ya zoezi la upimaji wa virusi hivyo kwa halaiki ya watu 98  lililofanyika tarehe 27 ya mwezi huu.

Waziri wa Afya katikia kaunti ya Lamu Ann Gathoni amebaini kuwa Mpaka sasa kaunti ya Lamu imeweza kupima jumla ya watu 113 tangu mkurukupo wa janga la Covid 19 kutokea humu nchini.