WAWAKILISHI WADI KUHUSU MSWAADA WA KUPINGA UBAKAJI .


 

Wabunge wa kaunti ya Taita Taveta sasa wanatoa wito kwa wananchi kujitokeza na kutoa maoni yao, kuhusu mswada wa kupinga ubakaji ambao utawasilishwa katika bunge la kaunti.

Kulingana na wawakilishi wadi kaunti hiyo wanasema ,kutokana na ongezeko la visa vya ubakaji miongoni mwa jamii ,kumewafanya kufikiria jinsi ya kukabili jinamizi hilo.

Kwa sasa wanasema watahusisha wananchi katika kuchukua maoni,ili kuhakikisha sheria watakayounda inafata katiba.