Wakaazi walalamikia mapenzi ya jinsia moja Kwale.


Baadhi ya wakaazi wa Kijiji cha Mwangulu kaunti ya Kwale wamelalamikia ongezeko la tabia ya wanaume kushiriki ngono ya jinsia huko lungalunga

Wakiongozwa na Mohammed Mwakuyala wakaazi hao wamesema vitendo hivyo vimekithiri pakubwa kuwafanya wanawakwe kuwa wapweke.

Wakaazi hao sasa wameilani tabia hiyo wakiwataka wanaume wanaondesha biashara hiyo kukoma.

 

Hata hivyo wakaazi hao wameonyesha hofu ya kwamba tabia hiyo huenda ikaathiri vijana wadogo na kizazi baada yao.