WABUNGE WA KITAIFA WAWAJIBIKE KUHUSU BARABARA TAITATAVETA.


Changamoto imetolewa kwa wabunge wa kitaifa kutoka kaunti ya Taita Taveta kuwajibika hasa katika ukarabati wa barabara.
 
Kulingana na wawakilishi wadi kaunti hiyo wanasema kwa muda sasa wabunge hao wamekuwa wakizembea huku barabara nyingi zilizo chini ya hazina ya NG-CDF zikiwa hazipiti.