Umuchina yakubaga umukenya yiranywe wavo


Waziri wu vurindi vwu mugati Fred Matiang’i yakwenya umuchina umanyikani kuryita Deng Hailan, uwaroreka ku video nakubaga umukenya, yiranywe wavo mukivara chi vuchina, harara nindi avarina veve vavaga. Amayarizu gari nigavavichi muvuhambe ku madiku 15, kutwekiza uvutunyirizi.

Mpishi huyo mchina ambaye alishtakiwa kwa makosa ya kumpiga mtu, alinaswa katika video akimcharaza viboko mfanya kazi mkenya katika mkahawa wa Chez Wou katika eneo la Kileleshwa, jijini Nairobi.

Balozi wa uchina hapa nchini Wu Peng, ametangaza kuunga mkono uchunguzi unaofanywa kuhusiana na kisa hicho na kamwe hawataruhusu visa vya aina hiyo viharibu uhusiano kati ya Kenya na Uchina