UHAMISHO WA WAALIMU UNA ATHARI KWA ELIMU


Uhamisho wa waalimu kutoka kaunti moja hadi nyingine huathiri sekta ya elimu hasa maeneo ya mashinani.
Kulingana na wakereketwa wa elimu wanasema hatua ya tume ya kuajiri waalimu kuhamisha waalimu wakuu inaathiri sio elimu pekee bali hata kifamilia.
Kwa sasa wakereketwa hao hasa kutoka kaunti ya Taita Taveta wanasema kuna haja ya wizara ya elimu kushirikiana na wadau wote ili kuimarisha elimu.