SHIRIKA LA RED CROSS LASEMA LIMEJIANDAA VILIVYO KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI.


Shirika la msalaba mwekundu limejiandaa vilivyo kukabiliana na majanga aina tofauti yanapotokea hapa nchini.

 
Kulingana na mshirikishi wa shirikahilo kaunti ya Taita Taveta Jorum Oranga anasema kwa sasa wanashirikiana na wizara ya afya ili kukabiliana na matatizo mbalimbali yanayoklumba kaunti hiyo.
 
Aidha shirika hilo linasema kwamba suala la mafuriko hasa katika eneo la Taveta sharti liangaziwe vilivyo kwani wengi huathrika pakubwa inapokumba sehemu hiyo.