Serikali ya kaunti ya Lamu kujenga kiwanda cha Bixa.


Wito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya Lamu kujenga kiwanda cha BIXA katika kaunti hiyo ili kunusuru mazao ya wakulima.

Hii ni baada ya kubainika kuwa BIXA lamu zinakuzwa kwa wingi hasa maeneo ya Mpeketoni,Faza na Hindi lakini soko la kuuza mazao hayo ndiyo changamoto.

Wamesema wakulima wa BIXA wa Lamu ulazimika kugharamika fedha nyingi kwenda kuuza mazao yao kaunti ya KWALE.

Imebainika kwamba kaunti ya Lamu utoa BIXA safi ,bora na nzuri kuliko eneo lengine lolote lile nchini.