Seneta wa kaunti ya Mombasa akosoa hatua ya kuhamisha hudma za ferry kwa KPA.


Seneta wa kaunti ya Mombasa Mohamed Faki ametoa wito kwa serikali ya kitaifa kuregesha majukumu ya huduma za uchukuzi wa ferry, kwa serikali ya kaunti ya Mombasa.

Akizingumza mjini Mombasa seneta Faki anasema kwamba kisheria, jumukumu hilo linastahili kuwa kwenye himaya ya serikali ya kaunti.