MTU MMOJA AFARIKI KATIKA HALI TATANISHI


 

Mtu mmoja amefariki mapema leo katika hali ya tatanishi mapema leo katika mji wa Voi kaunti ya Taita Taveta.
Mwanamume huyo ambaye ni fundi wa mbao amefariki baada ya kuzirai alipokua akiendelea na kazi majira ya adhuhuri.
Hata hivyo imewabidi maafisa wa afya kutoa mwili huo kwa hofu kwamba jamaa huyo huenda ameangamia kutokana na virusi hatari vya Corona.