Msongamano katika kivuko cha Ferry.


Msongamano mkubwa wa abiria na magari unashuhudiwa katika kivuko cha Likoni feri huku feri tatu pekee zikiwa ninfanya kazi kwa Sasa.

Mamia ya abiria wanaotumia kivuko hicho wamelalamikia kuchelewa kwenye shughuli zao kutokana na hatua hiyo.