Moi apigwa jeki kisiasa


Ujumbe wa jamii ya wakikuyu wapatao elfu moja umezuru nyumbani kwa hayati mzee Daniel Toroitich Arap Moi kuomboleza na mwanawe Moi Seneta Gedion Moi.

Wakati wa ziara hiyo , ujumbe huo umemwidhinisha Moi kuwania urais mwaka wa 2022.

Moi ameahidi kwamba baada ya siku 40 za kuomboleza atakuwa na mengi kuhusu hatma yake ya siasa za mwaka wa 2022.