Mili 3 yapatikana Masinga


Mili mitatu imeondolewa katika bwawa la Masinga machakos, baada ya boti waliokuwa wakitumia kuzama majini.

Kwa mujibu wa jamaa za marehemu, miili hio iliondolewa leo asubuhi na kundi la wavuvi.

Wote walikuwa wakisafirisha nyanya kutoka Machakos ambapo walikuwa wamenunua kreti kumi na walipokuwa wakivuka mto mashua yao ikazama majini.