Mauaji ya polisi Malindi.


Polisi katika eneo la mkaowamoto Malindi wamewaonya wakaazi eneo hilo dhidi ya kuchukua sheria mikoni mwao, wakati kunapo tokea tukio la kihalifu.

Haya yanajiri baada ya afisa mmoja wa polisi kwa jina Stephen Mwema kuuwawa na wakaazi wa eneo hilo mwishoni mwa juma hili.