Kuria apewa dhamana


Mbunge wa gatundu kusini Moses kuria amekanusha mashtaka ya dhuluma yaliyokuwa yakimwandama.

Kutokna na hilo, jaji martha Mutuku wa mahakama kuu amemwachilia huru kwa dhamana ya shilingi 20,000 kesi hiyo ikitarajiwa kusikizwa tarehe 8 mwezi ujao wa February.

Kuria aliachiliwa huru juma lililopita baada ya kuzuiliwa katika kituo cha polsii cha Kilimani alipokamatwa kuhusiana na madai ya kumdhulumu mwanamke kwa jina Joyce Wanja hapa Nairobi