Kongamano la baraza la mawaziri langoa nanga Kwale.


Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa wakati wowote kuanzia sasa kufungua rasmi kongamano la baraza la mawaziri katika eneo la Manyani kaunti ya Taita taveta.

mkutano huo unanuia kuangazia ajenda za serikali ikiwemo mchakato mzima wa BBI.Tayari mawaziri hao wamewasili katika eneo hilo.Hapo baadaye rais anatarajiwa kukagua miradi mbali mbali ya kiteknolojia huku mamia ya vijana wakitarajiwa kuhudhuria.