Kero ya barabara Malindi.


Kwa miaka mingi sasa barabara ya Malindi Mtangani imekuwa kero wakaazi wakihangaika ubovu wa barabara hiyo.

Ni kutokana nah atua hiyo ambapo serikali ya kaunti ya Kilifi kupitia ufadhili wa benki ya dunia imeanza ujenzi wa barabara hiyo kwa gharama ya shilingi milioni 67.

Hata hivyo ndoto ya wakaazi wa eneo hilo kupitia barabara nzuri imekwama hivi sasa baada ya wadau wa sekta ya biashara mjini Malindi chini ya Mwavuli wa Malindi Business Community kusitisha mradi huo kupitia amri ya Mahakama.

Wadau hao kupitia amri hiyo ya mahakama wanadai kuwa barabara hiyo ilifaa kujengwa kwa Cabro Badala ya Lami.

Ni kutokana na hatua hiyo ambapo wakaazi wa Wadi ya Sabaki na Malindi mjini wamejitokeza kwa maandamano ya amani wakitaka mradi huo kuendelea kama ilivyo Pangwa.

Insert……….Wakaazi wa Malindi na Sabaki Stembo kaviha……….

Wakaazi hao wakiwemo wawakilishi wadi mbali mbali wa kaunti ndogo ya Malindi wameshikilia kuwa barabara hiyo sharti ijengwa ili kunufaisha wakaazi wa Malindi.

Insert…………..MCA’s Dele