Kasisi azuiwa na polisi Turkwell kwa kukeketa watoto wake wawili

Maafisa Wa Polisi Kutoka Eneo La Turkwel kwenye mpaka wa Kaunti Ya Turkana Na Pokot magharibi wanamzuia kasisi mmoja eneo hilo
Hii ni baada ya kudaiwa kuhusika katika ukeketaji wa watoto wake wawili.
Kwa mujibu wa polisi, kasisi huyo alipopata habari kuwa anatafutwa, akawapeleka wasichana hao pamoja na wengine saba mafichoni ili kuficha ushahidi
Atafikishwa mahakamani uchunguzi ukikamilika