Kampeni za uchaguzi mdogo za ng’oa nanga Msambweni.


Kampeni za uchaguzi mdogo wa msambweni zimeanza ramsi leo wagombea sharlet mariam pamoja na feisal  Abdallah wakiidhinishwa na iebc kuwania kiti  Cha msambweni

 Mgombea feisal Abdallah amepata ungwaji mkono kutoka wagombea bashiri kilalo pamoja na Peter nzuki waliomwachia nafasi feisal kuwania ubunge wa msambweni

 Viongozi wa tangatanga wakiongozwa na seneta wa zamani Johnston muthama wakiwa katika msururu wa wabunge 14 wamewataka  wapinzani wao wa chama Cha odm kujiandaa kwa makabiliano makali ya kisiasa na kwamba watakanyakua kiti hicho kutoka chama Cha odm katika uchaguzi mdogo wa msambweni ulioratibiwa kufanyika tarehe 15 December mwaka

 Kulingana na wabunge desimus barasa, khatibu mwashetani pamoja na kimani ngunjiri wamekosoa mkono wa heri baina ya raisi Uhuru Kenyatta na kinara wa odm raila odinga wakisema inalenga kuwatafutia wanasiasa wachache  vyeo bila kujali maslahi ya wakenya.